Una mental illnessSiku izi nikiacha kuangalia match ya arsenal nahis kuumwa
naona mesut anaonesha kuwa bado anahitajika sana pale kikosini maana kuna mambo adimu ambayo tuliyamis katika mechi mbili tatu zilizopita,
hyu dogo saka nae anaonesha uhai kidogo pale mbele
No hii inaitwa sport abuseUna mental illness


Dogo anatulia sanaYaan kumbe tuna kina Dembele wengi tu hapo acardemy,
Emery sasa ampe nafasi huyu dogo ,Bakayo saka, kwa uwezo aliouonesha leo
Yeah Dogo ni promising, but he's still not good enough kuanza Game za EPL..Apelekwe kwa mkopo Sehemu akapate ukomavu na muda wa kucheza..Yaan kumbe tuna kina Dembele wengi tu hapo acardemy,
Emery sasa ampe nafasi huyu dogo ,Bakayo saka, kwa uwezo aliouonesha leo
Hana lolote na likiduku lake kakosa yeye na kipa tu! Hajui soka mbwembwe mbio nyingi kama Saidi maulidi. SMG.
Wanakosa magoli kina mane na kipa one against one,Hana lolote na likiduku lake kakosa yeye na kipa tu! Hajui soka mbwembwe mbio nyingi kama Saidi maulidi. SMG.
