Arsenal (The Gunners) | Special Thread

FB_IMG_1488923232241.jpg

Kipigo cha karne
 
Mkuu @Guada Amboni utabiri wangu wa kipigo cha mbwa mwizi umekuwa kweli.
Nimeamini unakijua kikosi chako pia wahenga husema roho mganga kama uliziona vile kifupi wachezaji waliokamilika wenye kariba ya kucheza arsenal hawafiki wa tano na kingine wafia timu hakuna sisi kipindi kile babu alitulazimisha fletcher mpaka tukakubali baadae kuwa ni mtu wa kazi sasa litawagharimu sana hilo so far pole ndugu yangu ila maumivu si makubwa kwani ulikiona kichapo hiki na ukawa umejiandaa kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom