Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Zipo nyingi moja elfu kumi na tano
 

Attachments

  • IMG-20170308-WA0003.jpg
    IMG-20170308-WA0003.jpg
    29.1 KB · Views: 31
Haina haja ya kulalamika, kwani lini mlishamtoa bayern??? Sema leo magoli yamekua mengi tuu ndo keleleee eti wenger out, ila poleni sana kwa uendeleza uteja
 
Poleni wana London wenzetu, lakini mmetoka kidhaifu sana, kufungwa goli kumi sio mchezo,
 
Poleni sana wakuu kwa kipigo kitakatifu. Ila nina swali, Kwani wachezaji wa Arsenal walikuwa wanacheza wa ngapi uwanjani hadi wakafungwa magoli kumi (10)?
Mwenye majibu plz
 
Back
Top Bottom