Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Palikuwa na radio cassette pana side A na B sasa ndio hivyo hiki kizazi cha. Com hakijui hivyo wenyewe DVD na CD hawawezi kuzijuaKuna jamaa anasem et *Arsenal* imeonyesha marudio![]()
Palikuwa na radio cassette pana side A na B sasa ndio hivyo hiki kizazi cha. Com hakijui hivyo wenyewe DVD na CD hawawezi kuzijuaKuna jamaa anasem et *Arsenal* imeonyesha marudio![]()
Mi nimepoa, alhamdulillahPole in advance
Ghafla ukapotea !baada ya andiko hili ila poleniJua tu tushapiga mtu kimoja, katupia Walcott dakika ya 20,
So tunatafuta goli 3 now
Ndio uungwana huo kushukuru kwa kila jamboMi nimepoa, alhamdulillah
Yaani unataka kucheka msibani haya upesi rudi kwetu utatupa aibu hapa buredah nashindwa hata kuwacheka, poleni sana tena sana.
kwa kweli ngoja niondoke hapa, endelea kuwafariji aiseee.Yaani unataka kucheka msibani haya upesi rudi kwetu utatupa aibu hapa bure
Acha tu aisee,Ghafla ukapotea !baada ya andiko hili ila poleni
Hapana aliwapeni mafanikio mengi tu ila uwezo wake umeishia hapo.Acha tu aisee,
Imeniuma kupita maelezo,
Huyu kocha wetu nadhani anatumia cheti cha mtu, nimesikia kama aliitwaga Hassan Wenge
Panga vizuri ni 2 5 5 champions league niite......Wazee wa consistency. 5-1, 5-1.
![]()
Hahahahhh [HASHTAG]#Bashite[/HASHTAG]Acha tu aisee,
Imeniuma kupita maelezo,
Huyu kocha wetu nadhani anatumia cheti cha mtu, nimesikia kama aliitwaga Hassan Wenge
FA waizuie Arsenal kushiriki UCL hata kama itafuzu......aggregate 10-2
? Aibu iliyoje?
The owner are not stupid to read the mood of players and fans too. There comes a time when ENOUGH IS ENOUGH.