Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

929e4e915a7632d3dbcf283d9288500a.jpg
 
Hata tufungweje kwakweli mi binafsi siwezi hama arsenal jamani ...

WENGER, IS TIME TO GOOOOO NOW
 
Arsenal wanatia huruma kwakweli.. Hatujui hata tuwasaidie wapi..
 
Ni aibu Mkuu tena si aibu ndogo. Timu iliyomaliza msimu uliopita katika nafasi ya pili kwenye EPL haistahili kabisa kuadhiriwa kiasi hiki katika uwanja wowote ule uwe wa ugenini au wa nyumbani.
Hama timu. Wenger haondoki leo wala kesho..
 
Back
Top Bottom