Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hatujui hayo wala hatutaki yasikia kwa sasa...
tofauti hiyo ni sawa naile ya simba (TZ) wakicheza mvua ikanyesha basi lazma washinde
ila imani hiyo ni nzuri endeleeni jifariji...

Anzisha basi thread ya Man U ili upate kuwafagilia Man U huku na sio hapa (its free!) na utasaidia pia kuepusha matusi yasiyo ya lazima- mikono inaiwasha kweli kukutupia kibomu.
 
hatujui hayo wala hatutaki yasikia kwa sasa...
tofauti hiyo ni sawa naile ya simba (TZ) wakicheza mvua ikanyesha basi lazma washinde
ila imani hiyo ni nzuri endeleeni jifariji...

Huu mwaka, sisi na ninyi. Man U vs Arsenal. Adebayor na Ronaldo wanafukuzana katika nafasi ya ufungaji bora, yaani inapendeza sana. Lakini ya leo kali, 6-0, nakumbukia magoli ya championship mwaka jana, Man U vs AS Roma, 7-0
 
I think Arsenal fans deserve an apology from Mr.Wenger and his little boys. He's been quoted saying "The only thing I regret is to have played players who should not have played" What about the fans? the humiliation they have had to put up with?
 
I think Arsenal fans deserve an apology from Mr.Wenger and his little boys. He's been quoted saying "The only thing I regret is to have played players who should not have played" What about the fans? the humiliation they have had to put up with?

Mkuu Arsenal hawakujua kwamba Tottenham walikuwa wamejiandaa na kwamba timu ile sasa inabadilika na kucheza mpira wa kueleweka.

Ramos amewafanyia kazi wachezaji wengi tu na amepata watu walio na stamina zaidi na wepesi wa kukimbia pembeni kama mtoto Aaron Lenon na Steve Malbranque.

Hawa wachezaji wawili pamoja na Jermaine Jenas ndio wana-feed mipira mingi kwa ama Berbatov au Robie Keane kama sio watu kama Jenas.

Kama unamkumbuka kiungo Athumani China alikuwa anaweza kufunga kutokea upande wowote ule akiwa ndani ya eneo la adui na akiwa peke yake na Yanga ilikuwa inafaidika sana na China, na sasa Tottenham ndio wana Jermain Jenas.
 
Back on top again- cammon Pompey!

jus for a single night bro....nyie ndio labda mtakua mwakaa on top in that form only kutushikia kwa muda nafasi yetu...kama msipopigwa tena tano siku nyingine...

na sie huwa twa slip ila sio kwa mwenda huo wa kupigwaaa tanoooooo???????lohhh!!!hadi michezaji yenu inataka kurushiana ngumi uwanjani???!!poleni
 
....nyie ndio hadi michezaji yenu inataka kurushiana ngumi uwanjani???!!poleni

Bora sisi wachezaji, umesahau ile FA cup Beckham alivyotiwa ngeu na kocha wake Fergie baada ya kichapo cha bao mbili mtungi? Na FA cup ndio hiyo inakuja tena, itabidi Fergie asachiwe kabla hajaingia dressing room ili asijejeruhi mtoto wa mtu tena!
 
The good thing about Arsenal the know how to win. We're at the top again.
 
This time naona Uongozi mtaukalia kwa muda kama wiki mbili hvi maana game ijayo ya MAN UTD ni ngumu kwa hawawapinzani wa Jadi MAN CITY, sidhan kama wataruhusu kichapo cha mfululizo kutoka kwa vigogo wa Ligi..Ila najua hasira zote za MAN UTD zitaishia pale ving'ung'uti(machinjioni) kwenye FA cup,,pale Wenger lazima awe mdogo maana atacheza na kichapo.Huu ni mtazamo wangu tu..tungoje yatakayojiri
 
The Next Station Is Old Trafford, Please Mind The Gap!!

hehehe poleni sana sijui mtamlaumu nani sasa kipa ama??duh na kweli mmemzeesha kipa wenu hadi kaishaaaa

sasa wana arsenal naomba niwaulize vijiswali tuu hivi leo mwacheza formation gani??as mwanzoni niliona mna striker wawili mbele lakini nashangaa first half yoote sijawaona kabsaaa..hawaonekani yaani wamefichwaaaaa

pili yule mwanadada wa pale kati kati yule cecilia fabregas if not electircity leo yuko wapiiii mbona simuoni leo akiset nywele zake kati kati hapo??kafichwaaaaaa na watoto wale waliowekwa kutibua mambo tuu kati pale...

lastly...mkija tena hivi second half mie naona ni bora tu kipa wetu aje na sofa set na magazeti kibao aendelee kula news tuu as mnampotezea muda..amewekwa golini asave magoli nyie mmesusa kushambulia..

au ka vipi yawezekana kipa wetu abadilishwe aingie mchezaji mwingine wa ndani tucheze bila kipaaa.....
 
wajimini kina kana ka nsungu na wengineo bila kumsahau muzee wenu wenger mko wapi leo??lohh tatu kipindi cha kwanza??hata sijui lehman ataenda elezaje kwa mkewe na wanawe kwa kuruhusu kupigwa BAO TATU faster vile looh alaf na watu watatu tofauti...yalllahhhh!!
(ndio maana yake)
 
now eboue kacheza karate sijui kung fuu ile uwanjani...sent out akamchezee wenger wake we only want footbaall uwanjani..so 48th minute arsenal r down 3 bila n on top of dat one man pungufu...ehh let me kip on watchin dis game i said kuna more mavituz eti nyie mlisema its ol over...
 
aliesema anaipenda arsenal kz dey know how to win..namuunga mkono lakini when it comes to loosin kusema kweli napo wanakipaji...as wanachapwaga nne mara tano...loh!!
wat a reunion ya gallas na toure plus nadhani ndio mechi ya mwisho ya lehman
 
Back
Top Bottom