Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal bana, yaani ushindi tunapata kwataaabu kweli
Yaani hapa kila mtu anaomba mpira uishe haraka
hapa nimebana korodani hadi zinawaka moto
 
Huyu Wenger si afanye sub sasa....Ama anataka mpaka Everton wasawazishe?
 
Back
Top Bottom