Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dah.... Tulikua tunapumulia mashine kwa muda sasa....may be AW atakuja na plan tofauti.....
 
spurs hakijaeleweka hadi sasa ... can't wait tushike nafasi ya tatu
 
waamuzi wanakua Booooed hapa.....Flynn katutoa kwa kuamua kuwa ile ilikua Offside... Personally sidhani kama it was too clear.....
 
Dah......Tunashambuliwa sana wakuu...

AW amtoe Walcott na Ramsey awaingize Gervinho na AOC
 
Back
Top Bottom