Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Ili iweje?,......Labda Ndetichia ndio angependa iwe draw lakini si Bala.....
Btw....Hiyo niliipost kabla Giggs hajafunga goli la dakika za majeruhi....
Noted.
Ili iweje?,......Labda Ndetichia ndio angependa iwe draw lakini si Bala.....
Btw....Hiyo niliipost kabla Giggs hajafunga goli la dakika za majeruhi....
Usije ukaingia mkenge....Utaliwa.....
Timu yetu haitabiriki hii.........Ni kama Homa za vipindi
ana 100% back up ya Board... So jamaa bado yupo.... Hata Emmanuel Pettit alisema he is still a right man to run the Job but anahitaji kuchange his Transfer policy...Aondoke tu.........
Keshaishiwa mbinu sasa.....
Mkuu sio ngumu ila timu yetu ina matattizo kwamba inaweza kupiga chandimu cha kufa mtu kama leo na mechi inayofuata tukacheza kama Mtibwa kama tutacheza kama tumecheza leo goli 5 tunaweza kushinda Emirates.
Najuta kutokwenda kuangalia hii mechi.
Mkuu vipi umefurahi kupita kiasi au??? Huyo jamaa yako leo ilikuwa game ya 900, hizo elfu moja zako endelea kusubiri zitafika tu!!!Giggsy on his 1000th appearance.
Mkuu vipi umefurahi kupita kiasi au??? Huyo jamaa yako leo ilikuwa game ya 900, hizo elfu moja zako endelea kusubiri zitafika tu!!!
Mkuu vipi umefurahi kupita kiasi au??? Huyo jamaa yako leo ilikuwa game ya 900, hizo elfu moja zako endelea kusubiri zitafika tu!!!
Wakubwa tu ndio tunaifahamu!Ipi tena????
![]()
Fans Man of the Match.... Goal.com wamempa Walcott As a man of the Match... whats ur Oppinion.....??
Hiii match imerudisha confidence za wachezaji.... tunasonga mbele gooners