Poleni sana wakuu its over for u guys
hahahahaha! mtani, utabadil majina mbaka ukome msimu huu.....
Halafu ww sijui unaangalia mpira huku unagida ulanzi! maana umeshaanza maneno ya kilevi
Aaahhh!! hii timu sasa hivi inahitaji ujasiri wa hali ya juu kuishabikia!!!
HAHAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.... Ngoja nikalale mie..... Saa tisa usiku nachek mechi ya kichapo again????? This tym siwezi yasubiri..... Usiku mwema wajamani....
hahahahaha! hakika...si unaona anasaidia had kufunga (kujifunga)....hahahaha!Ox ndio future ya Arsenal, acha fujo.
bora tukajiandae na emirate cup,mechi mbili magoli 6!
Sana mkuuu hii team me simpi mtu ushauri kuishabikia,coz ni mawazo sana tena sana sio kidogo,kwanza hawajui mpira zaidi ya show off....
Kwa kweli sijui akili ya AW inafikiria nini!! Inashangaza timu inaboronga kila siku lakini kang'ang'ania magarasha tu!!