TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,185
- 18,201
Huyu mzee kabakiza kurusha mikono tu kwa kulaumu na Midadi.... Angefanya usajili Jan wala asingeteseka this tym...........
labda kaanza karate lessons
Huyu mzee kabakiza kurusha mikono tu kwa kulaumu na Midadi.... Angefanya usajili Jan wala asingeteseka this tym...........
Mkuu umeshakutana na kuongea na Wenger personally ukafahamu kwamba ana kiburi? Au ni maneno ya kusikia na kuambiwa? Wekeni ushabiki uchwara mbali na angalieni anachofanya. msione timu zote na media zinamshambulia mkafikiri ni one of the worst.

Dah!! Ndugu zangu naona mnacheza kiduku leo.Komaa jamani hili kombe ndio size yenu.
Hata mashabiki waliotoa pesa zao kuiangalia Arsenal nao wamekata Tamaa....
uwanja wa rugby nasikia mwachezea....khekheeeeee!Goli la Djourou hilo .... ...... Sunderland 1 up..... .. kama alivyofanya Italy faulo za kijinga .... ..
Nimeipenda sub ya leo. Inaonesha tunataka ushindi
Song linatoa mipande ya nguvu.