Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tatizo letu sisi ni Kocha.............

Siku AW akiondoka Arsenal ndiyo siku ambayo amafanikio yataanza Arsenal.......Zaidi ya hapo itakuwa ni kila kupigania nafasi ya kushiriki CL basi na si kuchukua ubingwa(iwe EPL,FA ama Carling).......

Hatuna timu wala kocha mwenye mawazo ya kuchukua ubingwa....

...i doubt bro, i doubt that....mechi ya jana wachezaji kama wamemwagiwa maji....wote!...
Vermaelen, Rosicky, Ramsey, Sagna, Gibbs, Arteta, were all below par.
..

...wings zilikufa kibudu,.....tactically, milan were so far better than us....lets pray Per Metersacker
acheze 2nd round utaona kama Ibrahimovic ataweza feed ile mipira kwa Robinho...
dogo Boateng mkali, ila naye defence ikikaa vizuri hatafurukuta sana kwa Song...

jana nilisema na mapema game ile hatumhitaji TH12, ila naona tayari wenger akili yake ipo jumamosi
kwa sunderland....
 
Mpira unadunda BJ........Vipi tukiwpiga Milan 5-0 Imarati?.......Bado tu utasema baibai?


Kama wao wameweza kutufunga 4-0 kwao kwa nini sisi tushindwe kuwafunga 5-0 kwao?...................Lol!

Kweli mpira unadunda samtaimz Bala..Tuone huko Emirates itakuwaje?!!

Hapo bold mbona itakuwa raha mkiweza watungua 5-0 mana hatuwezi jua..Na iwe mkuu!!
 
NO Comments! No Comments! GUTTED!! Don't know what happened to my beloved Arsenal but whatever happened we need to stick together for the sake of our club, in good times and bad one,once a gunner always a GUNNERS, now let our focus be on the next game .
 
lolz @ Mbu & Balantanda, the delusional goners. Where is Wacha the 'kwee kwee kwee' guy when u need him the most ? asije akawa ameji-Omondi ! :sad:
 
Poleni sana wakuu wenzangu wa gunners.

Matokeo ya mechi ya jana yanaendana na maandalizi yetu.

Tupeleke nguvu FA CUP. Timu inaendeshwa kibiashara, kocha na viongozi wa juu wote wamejiandaa kwa matokeo haya,ni sisi tu washabiki ndio tunaumia.

Kila la kheri jumamosi. Gooner 4 life
 
hahaha....msikose channel 5 kesho kuangalia Europa League...

Sana kaka na wewe pia,pole sana kwa kutolewa kwenye champion sasa mwaka huu sijui mtapata kikombe gani??
 
Poleni sana wakuu wenzangu wa gunners.

Matokeo ya mechi ya jana yanaendana na maandalizi yetu.

Tupeleke nguvu FA CUP. Timu inaendeshwa kibiashara, kocha na viongozi wa juu wote wamejiandaa kwa matokeo haya,ni sisi tu washabiki ndio tunaumia.

Kila la kheri jumamosi. Gooner 4 life

Poleni sana kwa kweli na mnatia huruma sana tena sana
 
Wakuu kwa Arsenal kwa niaba nilikuwa nawaomba tuamie United kushangilia taifa kubwa,sasa hapa kila siku mna stress za nini lakini,United stress kwa mwaka mara 3 au 4 sasa mnafaidikia kushabia team ambayo management ya team haiwafikiria na kujua kwamba mnajisikia vibaya zaidi wenyewe wanafanya Business tu??Poleni na mlitegemea kwamba Gibbs na Chamberlan ndio wa kubadilisha ule mpira jana??alafu Gibbs alikuwa anaumwa kwa mda mrefu sana jana ndio aje kucheza inawezekana kweli??wakuu mna safari ndefu sana mpaka mfike mnakoenda inaonekana kama kocha wenu hajui anachokifanya hata kidogo....
 
Piga ua garagaza........Mwakani lazima tushiriki UEFA.......Na msipoangalie leo Ajax wanawatoa nishai......Hasa Dada Gea akiwa golini

Mkuu nyinyi imekuwaje lakini??ina maana Shangazi Van Perse asipofungua na nyinyi hamfanyi kitu??mnamtegemea mchezaji mmoja tu??
 
Wacha hana ubavu wa kuja kupiga kelele zake hapa

Nashangaa simuoni kabisa,mpaka United akishinda au kufungwa ndio anaonekana kule ila hapa anakuwa hayupo kabisa,yule sio mpenzi wa team bali ni mshabiki wa team
 
Salamu za rambirambi za dhati kutoka kwangu kuelekea mashabiki wote wenye mahaba na klabu yao ya Arsenal,nawaomba muishie kwenye mapenzi tu kwani ukiwa na mahaba kuelekea timu ikivurunda unakosa raha siku nzima.Poleni sana.
 
Tatizo letu sisi ni Kocha.............

Siku AW akiondoka Arsenal ndiyo siku ambayo amafanikio yataanza Arsenal.......Zaidi ya hapo itakuwa ni kila kupigania nafasi ya kushiriki CL basi na si kuchukua ubingwa(iwe EPL,FA ama Carling).......

Hatuna timu wala kocha mwenye mawazo ya kuchukua ubingwa....

hayo mambo ya kocha wenu sisis hayatuhusu nyie wadau wakifika kwenu wanalamba wananyanyuka na point wanasepa...
 
kwikwikwi kwi kwikwi kwi kwiii...ahhh wanadarisalama wa landani nilishawaambiaga hamieni kwenye basi kubwa,kibajaji kimejaa hicho ona mnavyo sukumana....kwe kwe kwe kwe kwe......bado 4 za kwenu,ili jina lenu litimie la ase8
 
tehteh! wap Wacha Boy?, naona anatujazia post kule kwetu hapa amna kitu....na yule kijana aliyebadil jina yu wapi?
 
Naomba na mie niwasilishe pole zangu kwa kipigo cha jana!
 
Naomba na mie niwasilishe pole zangu kwa kipigo cha jana!

KHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE KHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

Robinho-AC-Milan-San-Siro-Champions-League5_2719339.jpg


Thierry-Henry-Arsenal-Champions-League_2719342.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom