Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta alipokua Everton hizi free Kick alikua anafunga sana tu.... Ila sina kumbukumbu za kuwa kama keshawahi funga tangu alipojiunga nasi... Utadhani kabadili miguu bana....
 
Vijana wanaingia uwanjani na Wojciech Szcesny kakosa namba ..... ...... Fabianski yupo golini .... .. ngoja tuone huu uwanja wa matope itakuwaje leo ... ..... ..

Wakuu vipi mbona hamna wachezaji kabisa wameenda wapi??
 
Arteta alipokua Everton hizi free Kick alikua anafunga sana tu.... Ila sina kumbukumbu za kuwa kama keshawahi funga tangu alipojiunga nasi... Utadhani kabadili miguu bana....

Nadhani angekuwa amepewa chance ya kuwa 1st free kick shooter angeuwa ameshafunga . So far nadhani sio first choice. Au sio?
 
Ramsey pasi zake sio nzuri anaharibu mpira bana .... ..... ...
 
Goli la Djourou hilo .... ...... Sunderland 1 up..... .. kama alivyofanya Italy faulo za kijinga .... ..
 
That is SQI..... Kuna haja ya kustaafu soka at least till nest season na hiyo itategemea Usajili atakaofanya AW......
 
Sunderland wana mzuka, na kelele za uwanjani ndio kabisa beki yetu inachanganyikiwa. Hapa tunaitaji kwenda kutuliza akili kwenye locker room. Hili tujenge confidence tena
 
hivi huyu wenger kuna anachojifunza na hivi vipigo? naona kama hakuna mabadiliko ati.
 
Jamaa inazunguka na mpira tu na inaona kabisa karibia filimbi inapigwa, piga shuti tu golini litakalotokea litokee.
 
Back
Top Bottom