Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

We lost deseverdly. And even if we could, we better not progress with this team. It'll save us the humility of being whipped with Barcelona, Bayern etc. If the squad isn't reshuffled by the summer transfer window then next season we'll be mingling with some midtable contenders or even worse. AFCTID
 
Champions league race's all over....dahhh....! kifo cha wengi harusi.
man united, man city, arsenal.....
:A S-coffee:
Acha kujifananisha na sisi ,bado tupo Europa Cup,msipo angalia mwakani mtacheza Europa kuanzia mwanzo
 
Hajafananisha bana....Alichomaanisha ni kwamba race ya Arsenal kwenye UCL inaishia ukingoni kama ilivyokuwa kwa Man City na Man Utd...

Btw....Ni kweli hatufanani Belo....Ndo maana sisi tupo UEFA Champions League na ninyi mpo UEFA ya Alhamis a.k.a EUROPA League....

Mwakani tutashiriki UEFA CL kama kawa.........Wenye hatihati ni wale jamaa wa darajani maana kuna tetesi wanataka kumfukuza kocha....
 
Una jipa uhakika wa kushiriki wakati nasikia uko juu ya Chelsea alphabetical,sisi mwakani tutarudi kwa nguvu zaidi
 
Duh mzee wa khe kee yuko wapi au kachukua bahasha kwaniaba ya Wojciech Szczesny au baridi la Ulaya limempitia ha ha ha ha ha.
 
Wewe unashangaa kuchapwa goli 4 wakati wenzio walishawahi kuchapwa 8?! Yawezekana wenzio wameshazoea.

Aisee usinikumbushie hiyo ya goli 8...mwenyewe timu yangu ilitolewa kitambo..ila Arsenal kushangilia inahitaji moyo, always vibano🙂)

Champions league race's all over....dahhh....! kifo cha wengi harusi.
man united, man city, arsenal.....
:A S-coffee:

Mbu cheki unavyojifariji..eti kifo cha wengi harusi..

Mlitakiwa mpambane kivyenu...mkishindwaga ndiyo mnatafuta visingizio kama hivyo.

Sahauni kuifunga AC Milan huko kwenu..bai bai CL msimu huu

Bora ukalalae BJ ila isije ika haya matokeo yaka yanaakisi motekeo yenu ya alhamisi. Uzuri na nyie mshatolewa humu la sivyo maumivu yangekuwa mara kumi zaidi

Sijui kama umeamka wewe mtu kwa kichapo cha jana!..Hayaingiliani na ya alhamisi!..hivi mlidhani mngevuka hapo mlipofika?? mlikuwa na kismati tu mkuu...ha ha
 
Una jipa uhakika wa kushiriki wakati nasikia uko juu ya Chelsea alphabetical,sisi mwakani tutarudi kwa nguvu zaidi
Piga ua garagaza........Mwakani lazima tushiriki UEFA.......Na msipoangalie leo Ajax wanawatoa nishai......Hasa Dada Gea akiwa golini
 
Wacha hana ubavu wa kuja kupiga kelele zake hapa
 
poleni sana wandugu naona vilabu vya italia vimewaamulia waingereza na bado next week mazishi mengine ya chelski...
 
Aisee usinikumbushie hiyo ya goli 8...mwenyewe timu yangu ilitolewa kitambo..ila Arsenal kushangilia inahitaji moyo, always vibano🙂)
Mbu cheki unavyojifariji..eti kifo cha wengi harusi..

Mlitakiwa mpambane kivyenu...mkishindwaga ndiyo mnatafuta visingizio kama hivyo.

Sahauni kuifunga AC Milan huko kwenu..bai bai CL msimu huu

Sijui kama umeamka wewe mtu kwa kichapo cha jana!..Hayaingiliani na ya alhamisi!..hivi mlidhani mngevuka hapo mlipofika?? mlikuwa na kismati tu mkuu...ha ha
Mpira unadunda BJ........Vipi tukiwpiga Milan 5-0 Imarati?.......Bado tu utasema baibai?

Kama wao wameweza kutufunga 4-0 kwao kwa nini sisi tushindwe kuwafunga 5-0 kwao?...................Lol!
 
Piga ua garagaza........Mwakani lazima tushiriki UEFA.......Na msipoangalie leo Ajax wanawatoa nishai......Hasa Dada Gea akiwa golini

Sisi hatuna mpango wa Europa Cup,Henry ambae alionekana analeta msaada ndio anaondoka naona now Captain wa Russia na Chamakh sasa watapata nafasi zaidi
 
Tatizo letu sisi ni Kocha.............

Siku AW akiondoka Arsenal ndiyo siku ambayo amafanikio yataanza Arsenal.......Zaidi ya hapo itakuwa ni kila kupigania nafasi ya kushiriki CL basi na si kuchukua ubingwa(iwe EPL,FA ama Carling).......

Hatuna timu wala kocha mwenye mawazo ya kuchukua ubingwa....
 
lolz @ goners..hivi mlitegemea kupata chochote?? rofl
Kumbukeni kuwa AC Milan 1899 ni timu yenye mafanikio zaidi ktk bara la Ulaya (besides Real Madrid).
Ile sio Sandalendi bana.

Sforza Milan!

heheh...ulikuwa wapi wewe rossoneri?acha kelele...ndio kwanza 1st half imemalizika.

Thats a pipe dream dude!!

...kwamba haijawahi tokea au?
...

Former Arsenal defender Nigel Winterburn rapped: "The experienced players didn't turn up for the manager and seriously let him down."The players should be disgusted with themselves. Confidence has been shot to pieces."Ex-Gunners skipper Patrick Vieira tweeted: "There was a lack of leadership."Shell-shocked keeper Wojciech Szczesny added: "Milan punished us on every occasion. We were up for it but they were the better team."

...me luv these quotes & assumptions....

Hivi Abuu Diaby yuko wapi??

....dahhh, usinikumbushe msiba bana....i really 'hate' that dude!

Acha kujifananisha na sisi ,bado tupo Europa Cup,msipo angalia mwakani mtacheza Europa kuanzia mwanzo

...i know bruv, i know....sisi tupo champions league!!!

Mbu cheki unavyojifariji..eti kifo cha wengi harusi..

Mlitakiwa mpambane kivyenu...mkishindwaga ndiyo mnatafuta visingizio kama hivyo.

Sahauni kuifunga AC Milan huko kwenu..bai bai CL msimu huu

Sijui kama umeamka wewe mtu kwa kichapo cha jana!..Hayaingiliani na ya alhamisi!..hivi mlidhani mngevuka hapo mlipofika?? mlikuwa na kismati tu mkuu...ha ha

...sijipi moyo mpenzi,...optimistically bado tumo kwenye champions league...
nikiangalia mtoni nawaona mamba na viboko wenye 'njaa kali'...

Je? mtavuka huko Europa?
 
Back
Top Bottom