Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Kwa wapinzani , sheria inasema hio ni. Kadi nyekundu, nawakumbusha. Tu
Alitaka autuvunjie mtaalam wetu,jamaa alistahili red..
Arsenal 3-1 Blackburn RoversWakuu ngapi ngapi hadi muda huu ?
Hivi tatizo ni nini? Naona wachezaji wetu hawajitumi kabisa. !!
Arsenal 3-1 Blackburn Rovers
Sagna mbona hayupo? Mbona yupo benchi?