Let us get used to Transition period guys,....miaka sita sasa tushazoea kumaliza top four,....soon tutazoea kumaliza mid table na kutafuta nafasi ya ushiriki EUROPA LEAGUE, ...(hata Man United na Man City ndio washiriki wetu kule!) ...So long as tupo kwenye EPL, haina tatizo...
.... hata SPURS mashabiki wao walishaizoea hali hii...mateso kwa zamu...
hamuoni hata MESSI kakosa penalty jana, siku za kufa nyani miti huteleza....[Madrid wanaongoza kwa point saba lakini mashabiki hawamtaki Mourinho!] ...soon utasikia na mashabiki wa Barcelona wanataka kichwa cha Pep Guardiola :A S-coffee:
ARSENAL, together we stand...we are the THE GUNNERS!