Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,301
bado naamini gooners tutamaliza top 4
Kaka, safari hii hata Uefa ndogo hatumo.kama huamini tafuta rekodi za idadi ya wachezaji aliokwisha watumia kibabu meneja ktk mashindano yote utakuta amevunja rekodi. Msimu huu ameshatumia wachezaji zaidi ya 30 na hakuna dalili tutachukua hata kombe la mbuzi. Huko nyuma chini ya kocha fulani Gunners iliwahi kuchukua double ligi na FA kwa kutumia wachezaji 16 tu in all competions. Linganisha na sasa