Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Mimi naona wakuu mngeamua kwa ujasiri mkubwa kushabikia mtibwa sugar manake marazi ya sukari huanza kwa mishtuko ya hafla hafla kama mnayoipata washabiki wa gunnerz
Dah kamanda mzee wenger umemtema laiv kwenye nick?Acha fujo wewe, Naona Adebayor anawatoa msimu na jeuri mmepata.
Dah kamanda mzee wenger umemtema laiv kwenye nick?
aargh mmefuja bana mimi nilitaka mbanane mapafu leo mmeenda kuachia bana, sisi mechi yetu ya mwisho kupigwa ilikuwa leo.
Hitma ya gunnerz tunakuja kukufanyieni 26 februari imarati.
giv up to the white lane, its a soccer revolution.
hehehehe dah!
Babu kanikera sana sitamsahau, ngumu sana kuendelea kuwakilisha jina lake. Sasa nawakilisha future ya Arsenal Chamberlain.
Redknapp anawatoa sana mna wachezaji kibao wengine hata hamjui kwanini mliwasajili lol.
Msipo pata kombe msimu huu Levy lazima atauza uza wachezaji .
Maneno ya Wenger kutoka skysports haya.
"............... Arshavin is captain of the Russia national team.
"You have an 18-year-old kid making his first Premier League start and a player who's captain of his country and they are querying the substitution? Let's be serious.
"
venger ashazeeka bana, hata mimi leo aliniacha hoi mbaya sana yaani, jibaba kombe hatuchukui lakini manu tunae na hatumtoi ile ya pili yetu tu, halaf uhondo wenyewe basi tunawanyonga nyinyi halaf tunarudi lane kumsulubu manu.... hehehe hili fixture limekaa utamu kweli, nishabuki holidei aisee.
Hapa bora angekaa kimya, maana anazidi kuniudhi kwa kunidhibitishia kuwa kweli aliweka dau lake kwa Man Utd.
Jamani kwa hali ya kawaida hivi ni kipi bora, Kuwa na kapteni wa Timu ya Taifa ya Urusi goigoi uwanjani au kuwa na kijana wa miaka 18 uwanjani ambaye anajituma kufa na kupona kuhakikisha timu yake inashinda huku akisha kutambua udhaifu wa timu pinzani ulipo?
Babu kanikera sana sitamsahau, ngumu sana kuendelea kuwakilisha jina lake. Sasa nawakilisha future ya Arsenal Chamberlain.
Redknapp anawatoa sana mna wachezaji kibao wengine hata hamjui kwanini mliwasajili lol.
Msipo pata kombe msimu huu Levy lazima atauza uza wachezaji .
Ha ha ha mkuu leo Wenger kanitolea kali sana. Siwezi kuwakilisha jina lake kabisa.
duuhhhh, maaaazeee umebadili jina? hahahaha!....pole sana bana ila
muda mrefu nimekuwa nakuangalia na hilo jina with admiration ya hiyo tai shingoni!
klorokwini na shedafa mwaka wenu huu...endeleeni kupasha moto kiti....!
Wenger "We loose together and win together. I will not blame one player. If I make a Mistake I am sorry"
source. Twitter.
kumbe anajua kafanya kosa...poleni sana..
AW nilikuwa sijagundua ndio wewe uliyebadili jina .... ..... ...... ....... not a good sign for your judgement. I can guarantee you that this season people will be surprised.
Mkuu ni mimi. Wenger leo amenikera sana kwa maamuzi yake ya kumtoa Chamberlain na kumleta Arshavin. Nimeshindwa kujua nia yake nini ilikua.
Alipewa muda wa kucheza na madaktari, angevuta msuli maloloso yangekuwa mengine.... ......
Wacha
Siku zote ulipokuwa unasema brown sikuwa nakutia akilini lakini leo kweli nimona
Man city walikuwa wale two red card wala hazina bahati mbaya lakini bahasha haisemi uongo
Kuhusu chama kweli tuna wagonjwa wengi mimi sitii maanani sana kuchukuwa ubingwa kwani wachezaji wengi ni wagonjwa na leo umeona Man united walikuwa wakiogopa kwenda mbele walitegemea counter attack na ref goli la mwanzo kama nililiona vizuri kama ni off side kwani kabla ya cross tayari jamaa alikuwa ameshatoka
Babu kanikera sana sitamsahau, ngumu sana kuendelea kuwakilisha jina lake. Sasa nawakilisha future ya Arsenal Chamberlain.
Redknapp anawatoa sana mna wachezaji kibao wengine hata hamjui kwanini mliwasajili lol.
Msipo pata kombe msimu huu Levy lazima atauza uza wachezaji .