Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Song booked and game over!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
.....pheeww, angalau leo mawili, ....gaffer atajisifu ati kayapunguza...lol!
 
Kaa pembeni wewe, ile slogan ya together we stand no longer holds!!!!



Toka lini? Mbona hamjatutangazia kwamba kila mtu kivyake sasa hivi?!! Hizo ni dalili za meli inayozama, kila mtu anaruka kivyake kama yule captain wa Costa Concordia....hahahaha!
 
wenger hana wa kumlaumu zaidi ya yeye na arshvin
 
Reactions: BAK
Wakuu mechi mbili tumecheza na nini na tumewanyuka Goli 10 hahah aibu sana aisee alafu mnaongea sana vijana wenu hawana quality tukubali ukweli tu
 
nasubiri wenger atatoa sababu gani..??! na arshavin wake *%& wameniharibia siku
 
hahahaha! Keep looking up jirani, na pole sana kwa kichapo.
Kichapo cha leo ni cha kujitakia jirani....Wenger kamtoa Chamberlain ambaye ndiye alikuwa anawechezesha mbele anamuingiza galasa ASHA BOKO na Mungu asivyomficha mnafiki Arshavin katufungisha kwa kumpasia Welbeck.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…