Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,825
Ramsey na Arshavin ni mizigo...Sasa hili goli kama sio la kujitakia nini? Mtu anapoteza mpira bila sababu.
Ngoma tumelala hii......Na kipa wa Swansea alivyokua mzuri jasho litatutoka hapa kuondoka ushindi leo kwa vile tumejiongezea. Mzigo
ngapi ngapi wakuu mpaka sasa? nipo mbali na luninga
Safi sana Rosicky.....Bora kujaribu kwa mbaliAngemalizia tu na Walcott amlete Chamberlain, manake tuko nyuma na Walcott haoneshi umuhimu wowote .