Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,085
Henry anajua..tuliyamiss sanaHakika niliyamiss magoli ya aina hii......
Henry anajua..tuliyamiss sanaHakika niliyamiss magoli ya aina hii......
chamark . watu ndivyo wanavyochunguia nyavu ... sio kurukaruka tu mbele pale
The King is back..................
Ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Grow up........You cn do better than this man.....Kweli simba akizidiwa, ula majani.
Leo mnamfurahia pensioner. Mlikua mkiwasema sana Chelsea;sasa mnakula matapishi yenu.
Naona Henry anakumbushia enzi zake za kukimbia na mpira kwenye kibendera cha kona kwa lengo la kupoteza muda......Hahaaaaa
Full Time
Arsenal 1-1 Leeds United 1
Asante sana King Henry
Kweli simba akizidiwa, ula majani.
Leo mnamfurahia pensioner. Mlikua mkiwasema sana Chelsea;sasa mnakula matapishi yenu.
Grow up........You cn do better than this man.....
mkuu nadhani una usingizi kalale bana...
Tumshukuru sana Song..ameonyesha kuwa naye anaweza kutoa final balls nzuri. Ramsey bado akili haijatulia, anaruka ruka tu uwanjani.
Kweli simba akizidiwa, ula majani.
Leo mnamfurahia pensioner. Mlikua mkiwasema sana Chelsea;sasa mnakula matapishi yenu.
Hapana mkuu. Unajua wakati mwingine sisi mashabiki na wapenzi wa mpira uwa tunaweka unazi mbele sana kuliko uhalisia.
Mimi nimeongelea suala la leo Henry kuonekana lulu wakati mara zote Arsenal na washabiki wanazisema vibaya timu zenye wachezaji wenye umri kama chogo.
Tunajisahau kwamba katika soka la kisasa,mchanganyiko wa damu changa na kongwe ni muhimu. Mimi nafurahi kwamba AW ameanza kuliona hilo. Bado washabiki wake,ila nao muda si mrefu wataelewa.