ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Tumekoswa.....
mtoeni samaki lasivyo mnafungwa..
Tumekoswa.....
Naona Arshavin yuko powa so far.
Kila mtu na mtazamo wake bana....Mwenzako hapo juu kasema Arshavin hovyo sana!
The gooners uwa mnanifurahisha sana.
Nway,nawatikieni ushindi leo.
Kila mtu na mtazamo wake bana....
Mwenzako hapo juu kasema Arshavin hovyo sana!
The gooners uwa mnanifurahisha sana.
Nway,nawatikieni ushindi leo.
Inawezekana aisee........au ndio yale mambo ya da Lizzy mkosa hoja nini..
Jamaa kaisha vibaya......Wakumtoa ni Chamakh na kumuingiza Henry. Kama tunataka ushindi. Na aingizwe kipindi. Cha pili kikianza sio mambo ya kuskilizia. Chamakh bora angeenda tu Africa sioni kilichomfanya acheleweshe safari yake.
Park na Henry waingie...leo sitaki kabisa kumuona Walcot uwanjani!wenger afanye mabadiliko bana....