Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dah.....Chamakh kaisha vibaya jamani.....Hata Jery Tegete ana afadhali
 
Dah....Chamberlain ni noma.....Yuko safi sana,sijui kwa nini AW anambania
 
Dah.....Chamakh kaisha vibaya jamani.....Hata Jery Tegete ana afadhali

aibu kwa AW kama alifanya kuwaomba Morocco eti acheze mechi ya leo na chaajabu kuonesha kuwa hana umuhimu kwao wakamruhusu. Umeona Yaya Toure, watu wenye umuhmu
 
Wenger sielewi anambania Chamberlan au vipi? Pia naamini Park mechi za ligi angechezeshwa mpaka leo angekuwa balaa. Hata umfanyishe mtu mazoezi vipi kama umpangi apate kujiamini ni zero
 
Naona leo Samir Nasri na David Beckham wapo Emirates.....Hope wamekuja kumcheki King Henry
 
AW anafanya double sub.....Walcott na Henry ndani....

AOC na Chamakh nje....
 
chamark . watu ndivyo wanavyochunguia nyavu ... sio kurukaruka tu mbele pale
 
Back
Top Bottom