Dakarai
JF-Expert Member
- Jan 17, 2023
- 736
- 1,365
Anacheza na Aston villaNyumbu kesho asiposhinda anaanza kupambania relegation rasmi
Subiri tuone Master class performance kutoka kwa Japaniga Suzuki 😀
Anacheza na Aston villaNyumbu kesho asiposhinda anaanza kupambania relegation rasmi
Chama letu ili hadi lituueUmefanya nicheke 😹
Hii ligi sio lelemama tena, tim ndogo nazo zina mapembe. Ukijipigia zako kimoja una shukuru mungu kisha unapiga haram ball (tetaball) mpaka mechi inaishaEpl ukiangalia kwa juu juu utaona ni ligi rahisi sana.Kwamba utacheza na Coventry utamfunga goli 5.
Hakuna points rahisi EPL, muda wowote unaaibika.Angalia City anavyopata tabu kwa Nottingham.
Ukipata points 3 furahi, songa mbele.