Malchiah
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 1,960
- 20,733
Nani ni kiazi zaidi,yaani anataka kumfinya kipa sehemu ya ku-score.Kai na Noni wote wamekosa 1 v 1
Bullshit
Nani ni kiazi zaidi,yaani anataka kumfinya kipa sehemu ya ku-score.Kai na Noni wote wamekosa 1 v 1
Bullshit
Huyo anaweza akaenda hapo au kwa Liverpool.Hivi Kenge fc hawakuona huyu kipa wa hull city Tzolakis, hadi wakaenda kumchukua martinez?
Zubimendi sio left footer!Dakika ya 89.
Magalhaes
Zubimendi
Merino
Hincapie
Noni
Odegaard
Wote ni left footers.
Mid yetu yote ina left footers
Epl ukiangalia kwa juu juu utaona ni ligi rahisi sana.Kwamba utacheza na Coventry utamfunga goli 5.Yan arsenal ipo ivi, kina mwanitesa united,livakuku, chelshit wakituangalia tunavocheza na tim nyine wanatuona hatuna mpira lakin kila wakipeleka tim zao hazichomoki. Wanaishia kusema arsenal tim yakawaida lakin tukikutana nao matumbo joto
Leo kazi wanayoDadeki hizi counter anazopigiwa mancity ni za level ya juu sana
Umefanya nicheke 😹Ushindi wa papatu papatu utatutokea puani