Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 39,231
- 79,546
AI nazo nyingi siku hizi. Mi siamini kama Keane anaweza kusema hivi zaidi ya hawa wenzetu wa JFJamaa katutemea sana shits
View attachment 3706138
AI nazo nyingi siku hizi. Mi siamini kama Keane anaweza kusema hivi zaidi ya hawa wenzetu wa JFJamaa katutemea sana shits
View attachment 3706138
Yaani haijakubali kabisaKuanzisha Bruno na Rice bado haijakubali ila Arteta anajifanya haoni
Angekuwa legend wa timu zingine ningekua namsahaka kidogoAI nazo nyingi siku hizi. Mi siamini kama Keane anaweza kusema hivi zaidi ya hawa wenzetu wa JF
Pona yake Leo tushinde .Kai ni takataka.