Kocha aache mawenge kesho tutoke na alama tatuBrighton wametupiga bingwa mtetezi na wamempiga aliyedai anataka kuchukua kombe msimu huu.
Kesho sasa ndiyo inabidi kuwakomalia Liverpool
Hata sare tu inatutosha pale AnfieldBrighton wametupiga bingwa mtetezi na wamempiga aliyedai anataka kuchukua kombe msimu huu.
Kesho sasa ndiyo inabidi kuwakomalia Liverpool
Itakua vizuri tukishinda ingawa liver naona form yao siyo mbayaHata sare tu inatutosha pale Anfield
Hilo halina mjadala.Kesho ARSENAL CHAMPEZ tunakaa juu kwa tofauti ya points tatu. Mtake msitake