IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,863
- 7,481
Timu haina uefa lakini inataka kumfunga Brighton hivi nyie mna akili zote au hamna?
Kipa atatoka First National League akafanye nini Premier League?Packt moja imeisha kubabake......watu wanapaka mate tu inazama yote!!!!!
Pale Spain Ndio maana Raya hachezi, hamna kipa humu.... Saliba na Gab ndio wanammbeba tu
Hawa ubavu kummmammae zao!Kama mlivyokuwa mnabwabwaja kwenye uzi wa Chelsea, hvy hvy mje mbwabwaje kwenye uzi wenu
Kipa atatoka First National League akafanye nini Premier League?
ARSENAL NI MAKUMA
Hawa jamaa wamesahau kuwa sisi ndio mabingwa nini?
OI HAO BRAIMAVI NDIO NILIKUA NASOMA MAHALI KUA HAWAJAPOTEZA MECHI YOYOTE?Gunners tumepatikana leo!
Duh! Hawa Brighton siyo mchezo mchezo kabisa!
Tuko hoi! Anyway. NDIO MPIRA WADAU!
Najua inauma ila vumilia 😂ARSENAL NI MAKUMA
Ndio...OI HAO BRAIMAVI NDIO NILIKUA NASOMA MAHALI KUA HAWAJAPOTEZA MECHI YOYOTE?
Yaani wanatupiga kwa haki kabisa. Huwezi hata kulalamika.Gunners tumepatikana leo!
Duh! Hawa Brighton siyo mchezo mchezo kabisa!
Tuko hoi! Anyway. NDIO MPIRA WADAU!