Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal ni mbovu kama haujakutana nayo.

Kuna dogo anaitwa Ola Aina aliulizwa experience yake kucheza na Arsenal akasema ili uelewe ugumu inabidi uwe uwanjani ukiwa nje utaona wanapiga tu pasi ila tatizo ni timu nzima inakua inatembea. Hivyo hujui wa kukaba
 
Siku kadhaa mbele utasikia Arsenal inacheza boring football ila utakuta imescore magoli kuzidi hao entertainers na wanaodai wanacheza mpira mzuri.

Chelsea bila set piece jana alikua hapati goli. Arsenal ingekua imescore set pieces magoli ya jana leo ungesikia stori tofauti.

Sasa kichaka walichoamua kutumia ni kipa kaguswa uso na Magalhaes
 
We bwa mdogo akili zako sio nzuri, unasema goli la chelsea ni la set piece? Huwa unawaza mpira unauangaliaga peke yako.
 
Hiyo misimu hatukuwa na depth, so injuries zilitunyima ubingwa lakini City alikuwa na timu bora sana kama unakumbuka
 
Wapi hapo kunamtambulisha kuwa ni chelsea fan?
Si amesema '...will never leave us alone" yaani hatuachii? Na hapo si Kai ametoka kuwafunda Chelkenge? Pia jina lake lina "CFC" mwanzoni akimaanisha "Chelkenge Football Charity". Mashabiki lia lia wa Chelkenge huwa wanapenda kuweka "CFC" kwenye usernames zao ili dunia nzima iwatambue kama wafuasi wa hilo genge wahuni.
 
naambiwa goli la kwanza lilihusisha wachezaji wote 11 kugusa mpira mpaka goli linaingia,nilikuwa sijagundua hilo
Ndiyo zetu hizo. Japo pia napenda kuona Raya anadaka na kuanzisha counter kali kwa kurusha au kupiga mpira mbele, uchukuliwe na mchezaji mmoja afunge au atoe assist kwa mchezaji mwingine. Kuna mfano mmoja game ya Crystal Palace...yaani Raya - Jesus - Trossard...bao.
 
Bwana Agbonlahor alisema kwenye mechi tano za mwanzo Arsenal atapata points 5 tu. Akasema hapa mwanzo ni kipindi kizuri kukutana na Arsenal kwakua bado timu haipo sawa.

Hiyo ilikua kabla ya ligi kuanza.

Baada ya game ya dhidi ya Coventry, Aston Villa na Chelsea Tukawa tuna points 9. Jamaa akarudiwa tena kwenye podcast yao ya kipimbi.

Akasema "Hii Arsenal ni timu ngumu sana, ukiamua kua physical wanakumaliza na ukiamua kua technical unamalizwa. Jana chelsea alianza kupata goli na Arsenal ikacheza kiutaalamu sana mpaka ikapindua matokeo."

Unakaa unawaza, hawa wajinga wapo sawa?
 
Mashabiki wa timu za Bayern na Madrid wanasema kukutana na Arsenal ni kipimo kizuri kwa mwelekeo wao UEFA.

Kisha anatokea mkazi wa Masieda anakuambia Arsenal ni timu ya kawaida
 
Madrid kwa msimu huu bado wakikutana na sisi wanapasuka. Kama wasipobadilika kila timu inayojitambua inawaweka hawa
 
Once upon a time, pale arsenal tulikua na kiumbe anaitwa Nicolus Pepe, ndio. Mchezaji machachari machachari lakini impact ni D iliyokaribu na F

Kwasasa pale city unamkuta Semenyo



Kwa kenge unamkuta Neto, na mashabiki wao wanamshangilia utahisi ndio neymar wao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…