Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hongereni sana Gooners wenzangu......

Thank God tunamaliza mwaka tukiwa katika Top Four...

Nawatakia Heri ya mwaka mpya 2012.....

Asante sana mkuu na wewe pia.

Mie game walieka Chelsea, nimeangaika kutafuta game yetu kila web ilikuwa inasumbua. Nikasema ngoja nikalale kidogo nivute nguvu ya kusheherekea mwaka mpya; naamka ndio nakutana na matokeo mazuri kabisa na sasa mwaka mpya unasheherekewa safi kabisa.
 
majirani alitucheka sana na draw game iliyopita naona Leo kila mmoja kapigwa 3 Hehe
 
Nakumbuka tulipodraw na Wolves wapinzani walijaa humu kama tumeshuka daraja. Leo wapigwa tatu tatu basi kimyaaaaa :lol:

Leo nna furaha sana. I'll drink to this. Man Utd. lost (at home), Chelsea lost (at home), Totenham has drawn, Arsenal WON. What a great way to end the year. HAPPY NEW YEAR GOONERS
 
Raha tupu,we are not paying attention but attention pays us and that is why hata tuki-draw everybody wants to smell the rat.
 
Ila kama tungeshinda game 2 zilizopita ingekua very interesting, sijui vijana wanakua hawawezi kuhimili pressure au... huwa inanichanganya akili kweli, sana tu!

Mkuu tunapigwa vita kila upande fuatilia clear penalties tunazonyimwa hizo mechi mbili na ya leo vile vile, kulikuwa na mkakati RVP asivunje record ya Alan lakini sisi ni Gunners tunasonga mbele ... ... patachimbika tu mwaka huu ...
 
Tuombe dua mkuu Wenger afanye mambo kukaza sehemu ndogo ndogo kwenye dirisha hili la january, manake naona kombe halina mwenyewe hili mwaka huu.

Mkuu usiwe na wasi wasi mambo mwaka huu bado sana, nasikia media ya UK leo wanaomboleza ... ... .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mkuu tunapigwa vita kila upande fuatilia clear penalties tunazonyimwa hizo mechi mbili na ya leo vile vile, kulikuwa na mkakati RVP asivunje record ya Alan lakini sisi ni Gunners tunasonga mbele ... ... patachimbika tu mwaka huu ...
Kiufupi leo match official,Martin Atkinson hakuwa makini,katunyima penalt ya wazi kabisa kwa ile foul ya Luke young na ili kuthibitisha kutokuwa makini kwake,kafanya mistaken identity,kosa afanye koscienly kadi kapewa Vermaelen!
 
Back
Top Bottom