Itabidi kusameheana tu, maana kwanza majukumu yalichukua nafasi ya kwanza pili, vijana nilijua watashinda ila, kuna kale kagoli kamoja, na tunajua, sio enzi za kina steve boulds, wapinzani siku hizi wanaweza kusawazisha wakati wowote, ila wazee Laurent Koscielny, wakuu huyu kijana naona analipa yale madhambi aliyofanya kwenye final yetu na Birmingham kwenye CL Cup ofcourse.
Koscielny bonge la beki, alikua hana confidence tu, na labda kuzoea EPL. What a game, Van the man angeweza hata kupiga goli nne!
Uzuri na yale yale ya kina Tony Adams, one nil to arsenal! Na ndio ubingwa unapatikana hivi. Peasant naona kaishiwa nguvu kabisa.
Kweli EPL kiboko.
Tuko wanne, ila tungeshinda zile game zilizopita, ingekua very interesting, nashukuru tulipo, inawezekana ndio mchezo.