Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Half Time
Arsenal 0:0 QPR
Arsenal 0:0 QPR
BAK hiyo spirit huwa inaharibu sana game... we angalia tu, mpira ukiisha then tathmini....hapa leo ushindi ni kazi sana maana huyu refa naona kaamua kutuuma ile mbaya. Kishafuta penalty 2 na sia ajabu akawapa jamaa penalty au hata akatoa red card ili tubaki 10.