Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu imecheza vizuri kwa kiasi chake

Tuwaone pia hawa wajuba Eze, Bruno, Merino, Gyokeres

Kenge inabidi wafe chuma 3+
 
Kuna wajinga walikua wanazunguka humu wanasema "Leo defense ya Arsenal tunaipima"

Kumbe ndiyo ilikua hizo long balls, kuvizia counter na free kicks?

Pumbavu sana nyinyi watu.
 
Ila mashabiki wa chelsea ni wapuuzi.

Kuna game tuliwahi kuwafunga 1 bila wakasema wamecheza mpira mkubwa sana na ni dalili watafuta uteja soon.

Next game ilivyokuja wakafa.

Naona leo wanasema wamecheza mpira mkubwa sana kwahiyo wanaamini tarehe 13 watakomesha uteja.
 

Pale juu kuna baridi sana Sidhani kama mtaweza kuvumilia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…