Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Fainali mlikutana na PSG inayojua mpira wewe mwenyewe shahidi mliishia kudefend maana mlipelekewa moto ile mbaya
 
Fainali mlikutana na PSG inayojua mpira wewe mwenyewe shahidi mliishia kudefend maana mlipelekewa moto ile mbaya
PSG inayojua mpira msimu wa 25/26 imefunga magoli 74.

Arsenal isiyojua mpira imefunga magoli 71.

Fainali PSG walipata goli kwa penati.

Halafu chelsea akafunga magoli 50
 
Kuumia kwa Caicedo napo pamechangia anasaidia sana kufanya kazi zote chafu na kulinda defenders moja kati ya mchezaji muhimu sana kwetu
Huyu hana lolote alijualo kazi ni kujikusanyia Kadi nyekundu na ndo maana kitaalam anaitwa " sheen kicker"
 
Arsenal ina wachezaji wa kawaida kulingana na mtazamo wako haya hebu tuambie ni lini mara ya mwisho Chelsea kuifunga Arsenal na kuondoka na point zote 3 ukizingatia Arsenal ina average players
 
Jamaa huwa anaongea pumba tupu tu anatumia akili za kulima matikiti kuchambua mpira.

Anadai Arsenal ina wachezaji wa kawaida na hata hakumbuki mara ya mwisho Chelsea kuifunga Arsenal 😂
 
Ila we jamaa haupo serious yaani unamfunga Aston villa mbovu kwa mbinde halafu unajitapa utafunga Chelsea 🤣
Kila mgonjwa anatibiwa kwa dawa yake huwezi ukampasua mtu kichwa kwa ugonjwa wa mguu
last time chelsea kuifunga arsenal ww hujaaanza kufanya mapenzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…