Ila we jamaa unachekesha sana ngoja nikupe takwimu za Morgan Rogers 2025/2026 kafunga magoal 14 assist 11Hivi unasoma au unaangalia maandishi? Wapi nimekuambia amefeli?
Nimeandika "AVERAGE PLAYER ALIESAJILIWA PESA NYINGI"
Katika mechi moja kufanya hivyo haiondoi ukweli wa hayo maandishi makubwa
Naona mwamba unapiga nyundo za kichwa tu 🤣Hata mtoto ukimuuliza atakwambia lile ni liroboti, Yaani upo serious kuliko mchezaji mwenyewe!!
Arteta mwenyewe kasanuka ndio mana anapambana na kina Alvares.
Bruno na Mbeumo ndio wachezaji hapo wengine ni Average playersPFA Bruno Fernandes, cunha, mbeumo, maino, Martinez, lammens, rashford, amad, baleba
Improve reasoning yako, me nasubria GW5 ndio nijue timu bora nizipi
Usajili haumaanishi ubora wa timu kama ingekuwa hivyo nyie mngekuwa na makombe yote maana ndio mnaongoza Kwa sajili miaka yote ivi karibuni
Chelsea ina mabeki wazuri ila tumekosa muundo mzuri wa kuzuia na Xabi Alonso amesema team inapozidi kwenda ndio inazidi kuimarika ikifika December Chelsea itakuwa team Bora sana.So hapo hayo mapungufu ameyaona na anayofanya kazi tukiwa tunachukua point 3EPL timu ya kunisumbua kuchukua kombe msimu huu ni arsenal tu
United Nina timu nzuri.
Chelsea beki yake mbovu haswa aerial duels
Game ijayo Monday football upo na arsenalChelsea ina mabeki wazuri ila tumekosa muundo mzuri wa kuzuia na Xabi Alonso amesema team inapozidi kwenda ndio inazidi kuimarika ikifika December Chelsea itakuwa team Bora sana.So hapo hayo mapungufu ameyaona na anayofanya kazi tukiwa tunachukua point 3
Unakaribishwa kwenye show ya Morgan Rogers, Joao Pedro na Cole Palmer utatu mtakatifu tunawabariki wapinzani kwa motoGame ijayo Monday football upo na arsenal
Sasa ww hauoni unachekesha hapo?Ila we jamaa unachekesha sana ngoja nikupe takwimu za Morgan Rogers 2025/2026 kafunga magoal 14 assist 11
2024/2025 kafunga magoal 14 assist 13 anakuaje ni Average player????
Kwa namna unavyojua wewe mchezaji wa kawaida inamaana gani?Sasa ww hauoni unachekesha hapo?
Hizo stats zinatosha kusema average player. Sio mbaya lakini sio tishio. Nini hujaelewa hapo
Namba kama hizo martinel alikua anazipata (sikumbuki mwaka) lakini sasa hizi ninavyosema anaelekea uarabuni
Martinel ni average player
Kama Rogers unamuweka 1st class player, basi kenge mnasfari ndefu sana
Kwa jinsi mnavyotupigia kelele, Jumapili nakukanda chuma nne
Wewe unashindwa kutofautisha maneno haya matatu ya kiingereza Kuna Average player, good player na best player, Rogers yupo kwenye neno "good" ni mchezaji mzuri sio wa kawaida mchezaji mzuri maana yake ni mchezaji mwenye consistency performance ndio maana nikakuwekea misimu yote miwili mfululizo kaperform vizuri. Martinell ndio mfano halisi wa "Average" mchezaji wa kawaida ana sifa ya kutokuwa na mwendelezo mzuri wa performance yake Leo anaweza kukupa game nzuri kesho akazingua same to Madueke. Neno la tatu "best" ni mchezaji mwenye sifa ya ziada ya uchezaji na ubora wa juu hapa ndio utakumta Vini, Mbappe,Rodri, Dembele n.kAverage player eg Caicedo, enzo, palmer,..... sio wazuri sio wabaya. Mfano wa wazi Thomas T hajamuuta palmer timu ya taifa ingawa yeye ndio anamjua vizuri sana palmer
Kwa pesa mliyomchukulia Rogers, ilibidi awe na profile ya hazard, lampard au drogba
Sisi arsenal tulimtaka vini kwa kiwango cha pesa ambacho hakikuachana sana na pesa mliyomnunulia Rogers
Swali hili hapa "katika angle yoyote ile je Vini na Rogers unawaweka kwenye kapu moja?"
Kwanini hautaki Rogers akae kwenye average player, wakati ndio sehemu yake hapo. Ukiniambia mmesajili mmeona potential hapo sawa.Wewe unashindwa kutofautisha maneno haya matatu ya kiingereza Kuna Average player, good player na best player, Rogers yupo kwenye neno "good" ni mchezaji mzuri sio wa kawaida mchezaji mzuri maana yake ni mchezaji mwenye consistency performance ndio maana nikakuwekea misimu yote miwili mfululizo kaperform vizuri. Martinell ndio mfano halisi wa "Average" mchezaji wa kawaida ana sifa ya kutokuwa na mwendelezo mzuri wa performance yake Leo anaweza kukupa game nzuri kesho akazingua same to Madueke. Neno la tatu "best" ni mchezaji mwenye sifa ya ziada ya uchezaji na ubora wa juu hapa ndio utakumta Vini, Mbappe,Rodri, Dembele n.k
Unakaribishwa kwenye show ya Morgan Rogers, Joao Pedro na Cole Palmer utatu mtakatifu tunawabariki wapinzani kwa moto
Neto ni mchezaji machachali, hakuna mtu mule.pedro neto naona mashabiki wengi wanamchukulia poa.. nafkiri baada ya yeye.. mwingne ni estevao.. hao navoona nd wachezaji hatari zaidi hasa kama wewe ukiwa ni defender kukabana nao.
Mtatufunga nne hatukatai, swali je nyie mtafungwa ngapi?Sasa ww hauoni unachekesha hapo?
Hizo stats zinatosha kusema average player. Sio mbaya lakini sio tishio. Nini hujaelewa hapo
Namba kama hizo martinel alikua anazipata (sikumbuki mwaka) lakini sasa hizi ninavyosema anaelekea uarabuni
Martinel ni average player
Kama Rogers unamuweka 1st class player, basi kenge mnasfari ndefu sana
Kwa jinsi mnavyotupigia kelele, Jumapili nakukanda chuma nne
Nimeshakutofautisha kati ya mchezaji wa kawaida na mchezaji mzuri ubishi wako haukusaidii kitu naona una hasira baada ya kumkosa Rogers na mambo anayofanya ungetamani awe mchezaji wakoKwanini hautaki Rogers akae kwenye average player, wakati ndio sehemu yake hapo. Ukiniambia mmesajili mmeona potential hapo sawa.
Hivi Martinel unamchukulia poa?
Yah wote wako vizuri ila ukiwa na wachezaji wazuri wengi wengine lazima wanakuwa kama vivulipedro neto naona mashabiki wengi wanamchukulia poa.. nafkiri baada ya yeye.. mwingne ni estevao.. hao navoona nd wachezaji hatari zaidi hasa kama wewe ukiwa ni defender kukabana nao.