Wana roho mbaya sana wale jamaa. Sisi tu ndiyo hatujawapiga na tulikuwa tunahamu sana ya kuwapiga msimu ujao halafu wao wanafukuza kocha.Liverkuku washamalizana na kocha tayari uko
Maelezo yote haya π1994 - UEFA Cup Winners Cup, Coppenhagen. Arsenal tulishinda 1-0 dhidi ya Parma ya Italia.
Hili kombe lilikuwa linapambaniwa na timu zilishoshinda vikombe vya ndani vya ligi za Ulaya kama vile FA Cup ya England, Copa del Rey ya Spain, etc.
Mwaka 1999 hili kombe lilikuja kufutwa na kujumuishwa na shindano lingine, Europa League baada ya mfumo wa Champions League kubadilika na kuanza kuchukua timu za nafasi za juu, badala ya washindi wa vikombe vya ndani tu. Tukitaka 'kujimwambafy' saaana tunaweza kusema tuna ka Europa au ka pre-Europa kamoja.
Mwaka 1995 tulifika fainali katika kutetea ubingwa wetu ila tulipigwa 1-2 na Real Zaragoza ya Spain.
View attachment 3597505
Kwahiyo wanangu yorokes ndio striker lenu mnalitegemea liwape uefa?[emoji36][emoji36][emoji36][emoji16]
Ukweli wa mambo ndio huo.Maelezo yote haya π
Xabi Alonso yupo Chelsea kitambo mzee, jamaa habari ameileta kiushambenga alaf vitu vingine hana details za kutosha za uhakikaAlonso si ameshamalizana na Rent boys?
UEFA safari hii ni Saa1 usiku, so hata wakienda extra time na sherehe za kushangilia ubingwa haizidi saa4:30 usiku.. So jitahidini muwe na taarifa Sahihi ndo mpost vitu vya kisokaComments za baadae saa sita usiku
Arteta outπ€£π€£π€£
Mkuu,hili hata halimsumbui Labyrinth 84.Naona Gordon kaondoka sheheπ€ π€ ...tunamaliza leo UEFA kesho tutakuwa mlangoni kuja kumchukua Tonali....mbaki na yule mvunja matofali Bruno mzee wa vurugu....kale kakikundi pale St James Park ni ka kukavunjilia mbali muanze upya....