Fanya urudi kundini.Mkuu wewe unahisi nitakuwa najisikiaje ?? Mimi nipo tena mwenye furaha tele.
Acha kutype huku unashika uboo we mwanamamaAsenoo wote qumamao! Mmekaa miaka 22 bila kombe, jana mmeshinda kombe kwa ndondokela mnakuja hapa kutupayukia makelele yenu. Nyie wehu nini? Je, mngeshinda hilo kombe baada ya miaka 10 si mngetembea barabarani bila nguo? Sijawahi kuona mashabiki wenye akili za kiuendawazimu kama hawa wa Asenoo. Ni shida.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaahhh huku mtaani kwa sasa tunaishi kwa tabu sana aiseee, yaani inabidi nichomoke home mapema sana kabla wale bodaboda wa kitaani hawajaamka.Flano
kitalembwa
Na haters wengine msiteseke bure dawa za kupozea maumivu hizi hapa chini.
Wahini katika vituo vya afya vilivyo karibu yenu mjichukulie dozi zenu[emoji23]
View attachment 3591792
Tupo nanyi mpaka siku ya mwisho na msisahau tunaenda Budapest kuchukua kombe lingine π[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaahhh huku mtaani kwa sasa tunaishi kwa tabu sana aiseee, yaani inabidi nichomoke home mapema sana kabla wale bodaboda wa kitaani hawajaamka. View attachment 3591840
Mkuu fuentte Nashangaa mpaka saivi, sijamwona Aaron Arsenal. Au tuseme ana multiple ID, jamaa ni moja ya die hard fans wa arsenal. Kwa kupitia michango yake mingi, kwenye hili jukwaa. Alikua sio tu mchambuzi wa mpira, Yani alikua na zile pigo za kiutafsiri, kama marehemu mkandala lufufu. Aliyekuwa mtafsiri wa action movie hasa kipindi cha mikanda ya (VHS). Aliponikosha sasa hadi kwenye masuala ya dini jamaa yumo.Wadau wa Gunners hongereni sana hasa wale die hard fans kama Castr , arsenal2004 mkorea Will Jr na mwanangu HENRY14 pamoja na wengine wote ambao hamkuionea aibu timu yenu hata ilipokuwa inapitia nyakati ngumu zaidi.
Kama mnavyojua furaha ya mpira inakuja unapokuwa na mnyonge zaidi yako, hivyo kwa fans wa timu pinzani. arsenal ilikuwa timu inayofurahisha kutaniwa kutokana na rekodi zake kwenye mbio za mataji makubwa.
Kusema kweli tumehuzunika sana kwa jana kuchukua moja ya mataji makubwa ila hatuna namna tarehe 30 tutakuwa dhidi yenu ili tuendeleze utani wetu wa jadi maana tofauti na hapo pataboa sana humu na mtarudi kuwa mateka wa hamis77 kabla Flano hajaja kuwaokoa na mbwembwe zake za inverted pressing ambazo hazikuzaa matunda hadi mlivyorudi kwenye LOW BLOCK ila mkaibatiza jina la kiutaalam kuwa ni HARAM FOOTBALL
Jipigenipigeni mkuu...tangu 2013 ndo mara ya mwisho kubeba hii ndo sasa rasmi nyny ndo mtakuwa mikubwa jinga ya EPLπ€ π€[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaahhh huku mtaani kwa sasa tunaishi kwa tabu sana aiseee, yaani inabidi nichomoke home mapema sana kabla wale bodaboda wa kitaani hawajaamka. View attachment 3591840
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hongereni sana wanangu wa Arsenyau kwa msaada wa VAR kufanikiwa kubeba English Corner Trophy msimu huu.Jipigenipigeni mkuu...tangu 2013 ndo mara ya mwisho kubeba hii ndo sasa rasmi nyny ndo mtakuwa mikubwa jinga ya EPL[emoji1783][emoji1783]
Jukwaa la motoHivi mna uhakika Flano yuko hai?!
Huyo atabadilisha ID tutakuwa naye humu. Waasi wengi watarudiKenge Labyrinth 84 popote alipo sijui anajiskiaje
Someone should check on him he might have collapsed π
Inaonekana wewe sio mtembeleaji wa majukwaa ya michezo, hii kauli sio salama kwa mustakabali wa timu yako msimu ujao. Waulize Liverkuku baada ya kutwaa kombe chini ya kichwa mviringo halafu wakaongezea akina ISAK, Kerkez, Ekitike, Frimpong, nk wameponea chupchup kushuka daraja msimu huu.
Anyway, Hongereni sana Gunners kwa kutwaa ubingwa
Asenoo wote qumamao! Mmekaa miaka 22 bila kombe, jana mmeshinda kombe kwa ndondokela mnakuja hapa kutupayukia makelele yenu. Nyie wehu nini? Je, mngeshinda hilo kombe baada ya miaka 10 si mngetembea barabarani bila nguo? Sijawahi kuona mashabiki wenye akili za kiuendawazimu kama hawa wa Asenoo. Ni shida.
Karibu Mombasa tubanjuke sababu ya ubingwa wetu wa EPL.Naam ulamaa
Mkuu, kumbe wewe na Mimi tunaishabikia Arsenal. Aisee nimefurahi sana baada ya kugundua kuwa watu wengi humu ninaowaheshimu ni washika mitutu wenzangu π.Kuna mwaka Fulani almanusura arsenal FC itwae kombe ila ikapotezaaa..
Kuna AHADI yangu kubwa nitachinja mbuzii kwa ajili ya celebration π maana miaka 22 sio mchezooo..
Nime ikumbuka arsenal ya ule msimu ikiitwa invincible 11
Maana arsenal ya 2003/2004 ilikua na kina jens Lehman ,David benkamp, Antonio Reyes, ovamars, Henry, wiltod, kolo toure, Fred ljumbeg, Peres, Lauren, sol cambel .
(Invincible 11)