Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hatimaye miaka 20 tangu huu uzi uanzishwe mwaka 2006 leo 2026 mashabiki wa Arsenal wanafurahia kubeba EPL hapa JF

Hongereni sana the Gunners miaka 22 sio poa

R.I.P fans wote wa Arsenal waliosubiria miaka zaidi ya 20 bila kuona wakibeba EPL
 
Chama letu limetupitisha kwenye safari ngumu ya kiakili na kihisia. Kuna kipindi unafurahi, Kuna kipindi unakuwa na hasira unaacha kabisa kuangalia Mpira. Mwisho wa siku tunachukua kikombe chetu

Congratulations to all the Gunners
 
Arsenal ni timu inochukiwa sana na kuonewa wivu na mashabiki wa timu karibu zote pale UK.

Lakini safari hii Arteta has just delivered the trophy.

Arsenal itakuwa timu tajiri zaidi na khasa wakifanikiwa kutwaa CL.

COYGs
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…