Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nafasi tunazipoteza sana. Gervinho anakaa na mpira mpaka anaboa.

Chamberlain yuko powa kuliko Arshavin wa sasa hivi sema Wenger anaogopa.
 
Nafasi tunazipoteza sana. Gervinho anakaa na mpira mpaka anaboa.

Chamberlain yuko powa kuliko Arshavin wa sasa hivi sema Wenger anaogopa.
Kuna kipindi AW huwa anaboa sana na sub zake.....Hajui kulazimisha ushindi kwa kufanya sub za maana
 
HASIRA kitu mbaya sana.... Alichofanya SONG pale ni matokeo ya HASIRA kutawala BUSARA....
 
Back
Top Bottom