Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Dah..........RVP kakosa goli la wazi
....Leo inabidi tufanye karamu ya magoli, at least goli tano au sita 🙂🙂 labda yatatusaidia huko mbele ya safari. Nimesikia kuna uwezekano wa Thierry kusaini mkataba wa miezi miwili, hili likiwa kweli itakuwa bomba sana.
Huyu Gervinho hajui kupiga cross?
That RED was too HARSH.......I dont AGREE..... Faida kwetu ila jamaa ndo watafunga duka sasa....
Kwani sisi Man U?Mnabebwaa weee hambebeki
Kila la kheri na timu yako mpya!