Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Biashara asubuhi......

Arsenal 1:0 Wolves(Gervinho dk ya 8)

Gervinho angekosa goli hili ingekuwa kitu cha ajabu sana....


....Leo inabidi tufanye karamu ya magoli, at least goli tano au sita 🙂🙂 labda yatatusaidia huko mbele ya safari. Nimesikia kuna uwezekano wa Thierry kusaini mkataba wa miezi miwili, hili likiwa kweli itakuwa bomba sana.

 
Free Kick zingine ni upuuzi saana....... Sa kapigaje pale....???
 
Hahahahaaaa.... Acha nicheke... that is what we call POOR defending.....VERY VERY POOR......
 
Back
Top Bottom