Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Goli la kizembe sana.
Kampasia kipa...................
Wameswazisha..............Makosa yameanzia kwa Djourou kabla ya free kick
Djourou anaboa.........Muda bado....Hahahahaaaa.... Acha nicheke... that is what we call POOR defending.....VERY VERY POOR......
Wenger kafanya makosa kumwanzisha Benayoun na Rosisky. Naona kama wote wapo kati kati wanakanagana. Djorou anakosa msaidiz huku pemben, inamlazimu kila saa aingie na mpira kati. Chamberlain game ya leo itamfaa.Kati tumepwaya sana,,,,,,, Song is not on Song as usual... pase zake ni famba sana.... Accuracy hakuna kabisaaa........Huyu Arteta nae anaremba saaana.......
Wenger kafanya makosa kumwanzisha Benayoun na Rosisky. Naona kama wote wapo kati kati wanakanagana. Djorou anakosa msaidiz huku pemben, inamlazimu kila saa aingie na mpira kati. Chamberlain game ya leo itamfaa.
Calm down!!!Van Persie vipi tena?
Game muhimu sana kushinda hii leo.
Tuko relaxed sana.
Tusubiri tuone huyu babu atafanya nini. Naona kipindi cha pili kimeanza bila mabadiliko yoyoteI miss Walcot na Ramsey. Ile kasi ya kiingereza ingewaacha hoi. Lets hope Wenger opts for Chamberlain, we need him for revival!
Halafu leo anapiga sana pasi za kisigino zinapotea.....Sijui kaota atatoa pasi ya goli kwa kisigino....lolKati tumepwaya sana,,,,,,, Song is not on Song as usual... pase zake ni famba sana.... Accuracy hakuna kabisaaa........Huyu Arteta nae anaremba saaana.......
Ni bora angewaanzisha Rosicky na AOC.......Benayoun zake dakika 20 kama sio 15 za mwisho...Wenger kafanya makosa kumwanzisha Benayoun na Rosisky. Naona kama wote wapo kati kati wanakanagana. Djorou anakosa msaidiz huku pemben, inamlazimu kila saa aingie na mpira kati. Chamberlain game ya leo itamfaa.
Mimi siwamiss wala nini.........Wanakera sana wale watuI miss Walcot na Ramsey. Ile kasi ya kiingereza ingewaacha hoi. Lets hope Wenger opts for Chamberlain, we need him for revival!