Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chuki mbaya kubababake.

Kuna makundi mawili.

Kundi moja linasema Raya kushikwa mikono siyo faulo.

Kuna kundi linasema ni faulo ila mbona Arsenal na wenyewe hua wanachezea faulo kipa?

Unabaka kushangaa haya mazenge yanawaza nini?
 
Mbuzi mbuzi wote waliodai wanafungwa ili Arsenal asipate ubingwa nipo hapa kuwachawia.

Sasa hivi nipo na Spurs na game yao na Leeds
 
Acha maneno mengi, pa1 na kubebwa bado msimu huu mnatoka patupu. Labda huyo refa wenu wampe mechi zote zilizobaki achezeshe.
 
Moja moja. Beki wa Spurs karuka tiktaka kwenye boksi mguu ukatua usoni kwa Ampadu
 
Kenge Spurs zimesuluhu. Mechi mbili za mwisho wamebakisha ni dhidi ya Cheltako na Everton.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…