CIty alishawatia gundu ile fainali jiandaeni tu kuvaa medali na sio kunyanyua kwapATimu yako iko fainali ya kombe gani mkuu. The only team to reach UCL finals without losing ikafundishwe mpira, the best defensive team in the tournament ikafundishwe mpira?
Mashabiki huwa mna tabia ya kuongea tu, hata tukifungwa fainali, hakuna mtu wa kuifundusha arsenal mpira.
Mzee umechanganyikiwa au unasema mwendo wameumaliza wakati its a final ndiyo mechi ya mwisho ya mashindano hilo neno haliingii hapo. Endeleeni kufanya maombi tulikose ila tukilipata mjiandaeMwendo wameumaliza wehu hawa. Wanajipa matumaini hewa. wanafikiri PSG ni Fulham pumbav kbs.
Sema Simione nae inabidi aachane na mambo ya ukocha.
Huwezi kuiombea Arsenal kushinda sio kweli Arsenal wameingia fainali kwa uwezo wao tuNilisema hapa na imetokea.... ngoja fainali mkashangazwe huko.... mfundishwe unachezwaje
Maxence Melo mkuu weka option ya kubookmark na reminder kwaajili ya watu kama hawaBOra mkutane na bayern mtajipapatua na sio wale wafaransa
Wale mliowafunga makundi na mtakaocheza nao fainali ni watu wawili tofauti
Matyako yako nguruwe poriFriends of Madrid tupo hapa mapema sana, kuhakikisha marehemu anazikwa bila sanda
Mkisha zingua, basi msi pangie wanaume namna ya kummaliza jambo laoBOra mkutane na bayern mtajipapatua na sio wale wafaransa
Wale mliowafunga makundi na mtakaocheza nao fainali ni watu wawili tofauti
Option ipo. Tafadhali angalia vemaMaxence Melo mkuu weka option ya kubookmark na reminder kwaajili ya watu kama hawa
Nilitaka niseme hilo pia, thanks for the quick reply
Shukrani chief.
Fans wa cheltaco wanatamani master plan sir Michael Arteta angekua kocha waoMashabiki wa arsenal wote muwe na asubuhi njema .. wengine lolote liwakute tu.
Tutakuwepo 👍Huwezi kuiombea Arsenal kushinda sio kweli Arsenal wameingia fainali kwa uwezo wao tu
Simieone mhuni tu yule...hana tena zile profile zinazompambania...the likes of akina miranda, godin, Diego Costa n.k ! Alimuotea barca kipindi ambacho ana majeruhi ya key players ... ! Arsenal fainali anaenda kufundishwa mpira ... ebu angalia mfano mid ya neves, vitinha, ruiz... alafu njoo kwa wanetu wana skelly na rice, Odegaard!Mwendo wameumaliza wehu hawa. Wanajipa matumaini hewa. wanafikiri PSG ni Fulham pumbav kbs.
Sema Simione nae inabidi aachane na mambo ya ukocha.
Utanyanyua kwapa wewe mkuu, wenzako wapo fainali bila kufungaa toka michuano ianze.CIty alishawatia gundu ile fainali jiandaeni tu kuvaa medali na sio kunyanyua kwapA
Yule mtoto upuuzi alioufanya pale Psg kipindi yupo Messi ni upuuzi mkubwa sana.Kylian Mbappe mchezaji ambaye Madrid walifosi kusajili mpaka ukatokea ugomvi na PSG akaja kua top earner kwenye kikosi.
Mashabiki wakaamini wamepata jibu la kuburuzwa na Barcelona na dunia wakaandika vitisho vya kutosha. Leo hii mashabiki milioni 1.2 wamepiga kura kutaka Mbappe auzwe.
Hii ni kufuatia swala la nidhamu la Mbappe na jinsi anavyoharibu dressing room.
Sikuwahi kuelewa ni kivipi mchezaji ambaye timu inafanya counter anaamua kususa kwakua pasi hajagewa yeye amegewa Messi wewe unamnunua ukidhani huyo ni suluhu.
Naunga mkono hoja.Hii nairudia hapa.
Arsenal tukichukua ligi msimu huu, kisha Pep akaondoka. Na msimu ujao Arsenal tunachukua tena ligi.