kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,820
- 20,804
Katika mechi zaidi ya 40 toka msimu kuanza arsenal alipoteza si zaidi y game 4, ila katika game 10 za mwisho alizocheza ameishapoteza game 4 pia.Arsenal ya games 18 za kwanza mlisema ni mbovu na hii pia mnasema mbovu. Kwenu kila Arsenal ni ya hovyo so wewe sema tu unachotaka
KWa hii conclusion kutokana na hizi stats upo sahihi.Katika mechi zaidi ya 40 toka msimu kuanza arsenal alipoteza si zaidi y game 4, ila katika game 10 za mwisho alizocheza ameishapoteza game 4 pia.
Hii inaonesha uwezo umeshuka zaidi.
MeMdogo wako ni wa kike?
Ah basi dogo ana akili sana.
Hawa jamaa ni wabishi sana ndio maana kila mtu anawaombea mabaya tu.Katika mechi zaidi ya 40 toka msimu kuanza arsenal alipoteza si zaidi y game 4, ila katika game 10 za mwisho alizocheza ameishapoteza game 4 pia.
Hii inaonesha uwezo umeshuka zaidi.
Nyinyi mnaondika hivi leo ndiyo mwaka jana na mwaka juzi mlidai Arsenal ni mbovu.Hawa jamaa ni wabishi sana ndio maana kila mtu anawaombea mabaya tu.
Kuna wakati kwenye mpira unaangalia takwimu kuthaminisha ubora ila kuna kipindi takwimu hazikupi uhalisia wa mambo. ArsenaL ya msimu juzi na jana ilikuwa bora sana kuliko arsenal ya msimu huu. Ingawa msimu huu arsenal wamelikaribia zaidi kombe kuliko wakati wowote ule kama wangepunguza ujuaji wa arteta
Kwa sasa hawamiliki game na kucheza kwa mamlaka kama zamani kenge hawa
Asenoo kumermamao! Leo mnatema bungo rasmi mbele ya Fulham. Maaanina zenu!Maduekel, Jokeres martineli eti ndio fowadi ya kuwapa UcL .... mmelogwa wazee ?? ?
Epl tayari mmeshatupa Taulo, wahuni wako wanaichakaza kavu kavu