Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kweli kiongozi, Ramsey inabidi awe anasugua benchi, kama leo amekosa goli la wazi., its time for benayoun na rosicky kumsugulisha tukiwa tunasubiri WILSHERE mwenye namba yake arudi.

Ramsey na Gervino wanapata nafasi nyingi za kuscore lakini wanaziwaste.
 
Winger zetu lege lege (Walcott n Gervinho) zinatuangusha sana. Mechi ikiwa na misuo suko kidogo tu wanakata tamaa na kuanza kukimbia kimbia hovyo.

Tuna bahati mbaya sana kuwa na wachezaji lege lege au naweza kusema sio bahati mbaya bali ndio chagua la AW. Ligi ya uingereza kuwa na wachezaji wenye nguvu na akili ya mpira inasaidia sana.

hii ni kweli mechi na City Walcott alipotea kabisa,
 
Mwacheni Theo ni kifaa tosha pamoja na Gervinho, kuna siku mpira hukataa kutokana na formation ambayo prof anapenda wachezaji wacheze. Kumbukeni kwamba wingers huwa wanashamiri wakati full backs wanawasaidia kutoka nyuma hivi sasa kule nyuma both sides wazoefu wameumia, Sagna pamoja na Gibbs. Ramsey ni mzuri lakini sio kama Cesc hata Arteta naye hajaweza kumudu vizuri pale katikati. Kumbukeni kwamba Song hakuwepo hivyo tulikuwa na pengo kubwa sana ..... ..... ..... hivi sasa yeye ndiye mwenye pasi za uhakika hasa kwa RVP last two matches mnaweza kukumbuka jinsi alivyokuwa anashirikiana na RVP. Song is back next match.

Vijana wapo vizuri sana majeruhi yakiisha atakaporejea hususan Jack ndio mtaona kwa nini prof alikubali Cesc kuondoka, kijana ni moto wa kuotea mbali. Mechi ya jana tumeshinda na leo tumezidi kuwasogelea wapinzani wetu .... .... mwisho wa mwezi ndio tutakuwa half time. Ngwe ya pili mtaona jinsi EPL itakavyobadilika, we are there to win it!
 
hahaahahahhaahhaaaa subiri FA waanzishe big Five...
 
Kuna makocha tena wengine wa PL wanatuhumu wenger anaua mpira wa england.. Kisa wachezaji. Bado hujaenda kwenye magazeti.

Tukienda kwenye msimamo wa ligi na liverpool na newcastle wamecheza leo

[TABLE="class: football"]
[TR]
[TH="class: hidden col2"][/TH]
[TH="class: col3"][/TH]
[TH="class: col4"]Pl
[/TH]
[TH="class: col5"]W
[/TH]
[TH="class: col6"]D
[/TH]
[TH="class: col7"]L
[/TH]
[TH="class: col8"]+/-
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]1
[/TD]
[TH]Manchester City
[/TH]
[TD]17
[/TD]
[TD]14
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]38
[/TD]
[TD]44
[/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: col1"]2
[/TD]
[TH]Manchester United
[/TH]
[TD]17
[/TD]
[TD]13
[/TD]
[TD]3
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]28
[/TD]
[TD]42
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]3
[/TD]
[TH]Tottenham Hotspur
[/TH]
[TD]15
[/TD]
[TD]11
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]3
[/TD]
[TD]13
[/TD]
[TD]34
[/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: col1"]4
[/TD]
[TH]Chelsea
[/TH]
[TD]16
[/TD]
[TD]10
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]4
[/TD]
[TD]15
[/TD]
[TD]32
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]5

[/TD]
[TH]Arsenal
[/TH]
[TD]17
[/TD]
[TD]10
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]5
[/TD]
[TD]8
[/TD]
[TD]32
[/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: col1"]6
[/TD]
[TH]Liverpool
[/TH]
[TD]17
[/TD]
[TD]8
[/TD]
[TD]5
[/TD]
[TD]3
[/TD]
[TD]7
[/TD]
[TD]30
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]7
[/TD]
[TH]Newcastle United
[/TH]
[TD]17
[/TD]
[TD]7
[/TD]
[TD]6
[/TD]
[TD]4
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]27
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Wachezaji wamefanya nini?au kwa kuwa wengi wanatoka France?
 
The Arsenal manager is short of defensive options on the flanks with Bacary Sagna, Carl Jenkinson, Kieran Gibbs and Andre Santos all nursing injuries.

anayetuloga nani?...

msimu uliopita midfielders ilikuwa tatizo, sasa full backs...aaaarrrgghhh!?

..Eboue rudi nyumbani kaka, watakuua hao!...
 
Last edited by a moderator:
Nawatakia kila la kheri wote na familia zenu kwenye kusheherekea sikukuu ya krismasi na mwaka mpya. Mungu awalinde na awatimizie maombi yenu.

Ujumbe uende kwa wote wakuu wenzangu wa gunners na mashabiki wa timu zingine.

Tuko pamoja.

tuko pamoja prof coach Arsene, viva to RVP kwa kujitahidi kufunga kiasi cha kuvunja rekodi ya Shearer na Henry
 
Niwatakie xmas njema na heri ya mwaka mpya watani wenzangu wa Asenane, najua bila nyinyi JF Sports forum ingedoda sana.
Blesses!
 
Nachukua fursa hii kuwatakia heri ya sikukuu ya Xmas na Mwaka Mpya mashabiki wote wa Arsenal mkiongozwa na Wacha,Mbu,AW,Quest na wengine wote
 
[h=1]Wenger - I'll take time over Henry decision[/h]By Rob Kelly

Arsène Wenger says that he will use the Christmas period to decide whether to re-sign Club legend Thierry Henry.

Arsenal's all-time record goalscorer has been training with the Gunners during the MLS close season and could offer a short-term fix for Wenger when Marouane Chamakh and Gervinhodepart for the Africa Cup of Nations.

Wenger insists he has not yet made his mind up on Henry.

"That's why I have Christmas Day off - I have to think about that," he said.

"Short-term is ideal for us, but I haven't made any enquiry yet. Thierry is not here at the moment. It has never come up in conversation!

"The first of January is the vital date for us. We have seven days to make decisions and I will make a decision in the next seven days on players."

Wenger - I’ll take time over Henry decision | News Archive | News | Arsenal.com
 
Nawatakia kila la kheri wote na familia zenu kwenye kusheherekea sikukuu ya krismasi na mwaka mpya. Mungu awalinde na awatimizie maombi yenu.

Ujumbe uende kwa wote wakuu wenzangu wa gunners na mashabiki wa timu zingine.

Tuko pamoja.

Thanks coach na wewe pia ckukuu njema.
 
Niwatakie xmas njema na heri ya mwaka mpya watani wenzangu wa Asenane, najua bila nyinyi JF Sports forum ingedoda sana.
Blesses!
Akhsante sana mkuu,nasi tunakutakieni ninyi mansix wote X-mas njema na mwaka mpya wenye fanaka!....DIMBANI MAADUI,NJE YA DIMBA MARAFIKI!
 
MERRY X-MASS eve To all fellow Gooners!! Hope Mzee wenger atamsajili Legendary Henry on loan kama present yetu! Afc4life.
 
Hope Mzee wenger atamsajili Legendary Henry on loan kama present yetu! Afc4life.
I would've loved to have Henry back home where HE belongs. Come home Henry, come home and be with your fellow gunners
 
Back
Top Bottom