Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wamekimbia jukwaa kwa muda.
Wanataka tutulie kwanza ndio warudi ,, kubabeki safari hii hatuwaachii yaani tutawapelekea moto huu uzi utageuka jehanamu kwao
Watarud kwa Newcastle Na wagongwe Tena 😂
 
Ubingwa wa msimu huu utaamuliwa kwa goal difference, kama ilivyokuwa msimu wa 2011/2012

We will win the premier League this season,They like it or not.
 
Kenge Labyrinth 84 naomba tujadili kidogo form ya Newcastle tuone shida iko wapi kufuatia matokeo mabovu katika mechi 4 zilizopita.
 
Wamekimbia jukwaa kwa muda.
Wanataka tutulie kwanza ndio warudi ,, kubabeki safari hii hatuwaachii yaani tutawapelekea moto huu uzi utageuka jehanamu kwao
Tumewaachia nafasi mteme sumu zenu mkishachoka tutarudi tu.
Timu zenu zenyewe zimeshindwa kuwapa furaha sasa inabidi msherehekee anguko la Arsenal
 
Tumewaachia nafasi mteme sumu zenu mkishachoka tutarudi tu.
Timu zenu zenyewe zimeshindwa kuwapa furaha sasa inabidi msherehekee anguko la Arsenal
Dogo.
Unaulizia furaha kwa washabiki gani? Man U ?
Liverpool??
Chelsea??

Embu niambie timu gani kwa miaka 20 katika hizo unaizid mafanikio?
 
Dogo yaani uni linganishe na mayanki ka nyinyi!, wewe dogo mi niko area since zama za mwinyi.

Toka jana nime pokea mention 100, na reaction 300+ aisee kuweni na adabu kwa wazee
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…