King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,318
- 5,996
Dah mkuu mtakuja kuwaua arsenal Netflix kwa shinikizo la damu. Kumbe token thread ianzishwe hawajawahi kubeba sio tu UEFA mpaka EPL. ππAisee huu uzi una miaka 20!!
Na tangu uanzishwe Arsenal hawajawahi beba EPL
Unaweza kucheza vzr ila hakuna matokeo, sasa umuhimu wa kucheza vzr uko wap πLeo nimepata hata nguvu ya kucomment cuz we had a very good game, mimi ni muumini wa mpira mzuri, kocha Ana capability ya kufundisha mpira mzuri lakini kwa mbinu alizotumia tangu January ndio zimefanya city Ku close the gap, kwa mechi ya leo nimemsamehe, naamini amejifunza kwamba this club was built for good football not otherwise.
Mgese wewe πIntelligent businessman umekazwa π
Naskia baada ya dkk 90 ulienda kulia chooni mana mkeo anajua ww n kidume unajua kukaza Kumbe leo ilikuwa zamu yako kukazwa πMgese wewe π
Wanaogopa kurudi nyumbani πMnachungulia kama wezi
Njoeni uzi si wenu
Kwahiyo umeona ni good game? Bado mnasafari ndefu sana kama ni ivyo. So Leo mmecheza good football? Asee.Leo nimepata hata nguvu ya kucomment cuz we had a very good game, mimi ni muumini wa mpira mzuri, kocha Ana capability ya kufundisha mpira mzuri lakini kwa mbinu alizotumia tangu January ndio zimefanya city Ku close the gap, kwa mechi ya leo nimemsamehe, naamini amejifunza kwamba this club was built for good football not otherwise.
From 9 points ahead zikiwa zimebaki game 6 mpaka GD +1.Haibadilishi chochote, I'm cool with it
Kwamba kombe hata haijabeba ila mshapiga kwamba na msimu ujao mnachukua tenaππKenge wamemtimua kenge mkuu.
Baada ya kumpa sifa na kumfananisha na Arteta wamegundua jamaa ni tapeli.
Ikatokea anaenda City, halafu Arsenal ikachukua kombe la ligi msimu huu basi na msimu ujao tunachukua tena.
Kaka uko wapi zimebaki 5 tu umepotea wapi ??Arsenal Bado mechi 17 tutangaze ubingwa
Ukitoa kenge, nyumbu, spurs, bournemouth, hizo ni must win games technically tutakua tumebakisha michezo 13 kutangazwa ubingwa
Happy new year