Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal wamefunga mabao matatu pekee katika mechi zao tano zilizopita.
images (5).jpeg
 
Atawaambiaje wakati kucheza hivyo kijinga yeye ndio anawaelekeza.

Huwezi kutegemea kudefend tu huku ushambuliaji ukiwa butu.

Huyu Gyokeres mimi naamini ni mfungaji mzuri sana ila tu amekuta litimu linacheza mpira wakipuuzi.

Ukiangalia Arsenal inavyocheza ni ngumu kuona katengenezewa nafasi za maana na akakosa ili tumlaumu.

Ndio maana hadi sasa hivi Gyokeres hauwezi kusikia hata mashabiki wakimlaumu hata wasioipenda Arsenal wanashindwa kumcheka maana hawana clip zakusindikizia masimamango yao.

Timu linacheza back passes kama nini sijui na kutegemea set pieces.
Kai alizomewa sana coz pia alikuwa akikosa goli nyingi za wazi coz timu ilikuwa inapiga soka safi lakusakama mpinzani.

Nyumbu,Chelsea ni mashahidi wazuri wa lile soka lakuupiga mwingi.

Nyumbu alisearchiwa hadi akatoa dakika za jioni.Ila sasa hivi ukifanikiwa kupata goli mbili against Arsenal basi umeshinda ukikaa nyuma.

Sio kama hatuna ila hii timu inacheza kwq maelekezo ya yule mjinga mpanga koni Arteta.

Haiwezekani nyumbu wawe wanauhakika zaidi wakupata goli katika mechi kuliko Arsenal wakati tumewazidi sana ubora.
Ngoja tuone leo maana City kombe kashalinusa na game ya leo itaonesha muelekeo wa bingwa.
 
Wanetu anayebana pumbu abane. Kama umepiga binti ana gundu siku tatu nyuma hii game usiangalie.

Namuangalia AM wa City halafu namuangalia AM wetu najikuta nasizi. AM wetu anazunguka uwanja mzima lakini ni anautafuta mpira ili arudi nyuma.

So wings zimekaliwa katika nama ya kurely kwenye crosses, Eze RW na Madueke LW lakini kwa miguu yao dominant hii ni risk ama la basi hapa tunacheza 4 4 2. Trossard na Martinelli nje labda wanasubiri miguu ichoke. Kama ndoto ipo sawa hapa tutarajie red.

TUkapambane wanetu
 
Back
Top Bottom