Mkuu timu imeingia kutafuta ushindi Leo, Vijana morali Ipo juu.Mapema tu kama naliona bus
Hii game tucheze ata mpira wa mchangani katika kuzuia poijts 3
Au sioMkuu timu imeingia kutafuta ushindi Leo, Vijana morali Ipo juu.
Tunashinda hii game
Tulia wanaume wanacheza mpiraKichwa cha mwendawazimu Fc [emoji23]
Nyumbu siwaliwakojolea vitatu bwasheeHii arsenal arsenal hatutakiwi kushambulia kama tunacheza na nyumbu
Pep anatuinguza kwenye mtego
Unasahau ile game ya kwanza?Nyumbu siwaliwakojolea vitatu bwashee
Hahahah unasahau 8 kwa mbili?Unasahau ile game ya kwanza?